Dialogue

Vocabulary

Learn New Words FAST with this Lesson’s Vocab Review List

Get this lesson’s key vocab, their translations and pronunciations. Sign up for your Free Lifetime Account Now and get 7 Days of Premium Access including this feature.

Or sign up using Facebook
Already a Member?

Lesson Notes

Unlock In-Depth Explanations & Exclusive Takeaways with Printable Lesson Notes

Unlock Lesson Notes and Transcripts for every single lesson. Sign Up for a Free Lifetime Account and Get 7 Days of Premium Access.

Or sign up using Facebook
Already a Member?

Lesson Transcript

Nairobi
Jiji la Nairobi ndilo kubwa zaidi nchini Kenya. Wenyeji wa jiji hili mara nyingi huuita ‘jiji la kijani kibichi kwenye jua’, na kwa sasa umekua kituo kikubwa cha biashara. Maelfu ya biashara zapatikana kwenye jiji hili huku zaidi ya makampuni 100 makubwa ya kimataifa yakiwa na makao makuu humo pia. Jiji hili pia ni nyumbani mwa soko la hisa la Nairobi, ambalo ni mojawapo ya soko kubwa barani la kubadilishana hisa na la pili kwa masoko yaliyoanzishwa zamani. Ingawa biashara nyingi zina makao makuu katikati mwa jiji, makampuni mengi yanazingatia kuhamia nje mwa jiji ambapo yanaweza kujenga vituo vyao wanavyotaka na kupata ardhi kwa bei rahisi.Nairobi iko kati ya Mombasa na Kampala, miji mingine mikubwa. Pia iko karibu na bonde la ufa kumaanisha kuwa hupata mitetemeko michache, ingawa midogo. Mlima Kenya upo kaskazini mwa jiji la Nairobi huku Mlima Kilimanjaro ukiwa kusini. Wakati anga uko wazi, milima hizi mbili zinaweza kuonekana kutoka makao makuu ya taifa, ambao pia ni kikao cha kata cha Nairobi. Mto Nairobi na vijito vyake pia hupitia kata hii.Mojawapo wa sifa nzuri zaidi la jiji hili ni idadi ya bustani na maeneo wazi yaliyoenea kote. Kuna maeneo machache ya kijani kibichi. Bustani ya Uhuru ndiyo maarufu zaidi katika jiji hili. Mikutano mingi ya nje ya kampeni na sikukuu hufanyika huko.

Comments

Hide