Dialogue

Vocabulary

Learn New Words FAST with this Lesson’s Vocab Review List

Get this lesson’s key vocab, their translations and pronunciations. Sign up for your Free Lifetime Account Now and get 7 Days of Premium Access including this feature.

Or sign up using Facebook
Already a Member?

Lesson Notes

Unlock In-Depth Explanations & Exclusive Takeaways with Printable Lesson Notes

Unlock Lesson Notes and Transcripts for every single lesson. Sign Up for a Free Lifetime Account and Get 7 Days of Premium Access.

Or sign up using Facebook
Already a Member?

Lesson Transcript

Mji wa Nakuru
Mji wa nne kwa ukubwa nchini Kenya ni Nakuru, ambao unajulikana kama kituo cha utalii, viwanda na kilimo. Mazao yanayolimwa katika mji huu ni pamoja na shayiri, ngano, maharage, na kahawa. Kuna pia viwanda vya kuchambulia pamba na viwanda vya kadhaa vya unga. Pia ni nyumbani mwa Chuo Kikuu cha Kabarak na Chuo Kikuu cha Egerton. Egerton ni shule kubwa sana ya umma, mbeleni Kabarak ilikuwa shule ndogo ya kibinafsi. Pia idadi ya shule muhimu za teknolojia ziko Nakuru, kama Taasisi ya Kenya ya masomo ya usimamizi.Utalii ni sekta muhimu mjini Nakuru na eneo zake kwa sababu ya Ziwa Nakuru ambayo ni mojawapo ya . ya maziwa katika bonde la ufa. Maziwa haya ni baadhi ya maziwa makongwe yenye vina virefu duniani na ya ekolojia kubwa. Ziwa Nakuru ni ziwa ya magadi inayo kuuza viumbe vingine vinavyo weza jimudu tu kwenya ziwa hii. vyenye vinaweza ishii tu katika uhai ndani ya ambazo zinapatikana kwenye kiikolojia mbalimbali. Ziwa Nakuru limo ndani ya mbuga la wanyama wa Ziwa Nakuru, ambalo ni nyumbani mwa idadi kubwa ya flamingo. Watalii wengi hufurahia kuzuru hifadhi hii huku wakitazamia kuona wanyama kadhaa wa pori. Nje ya mji wa Nakuru mna mlima Hyrax na mlima wa Volkano wa Menengai uliotulia kwa sasa. Uchimbaji wa historia wa akiolojia huchukuliwa na wengi kuwa moja ya maeneo muhimu wa vyombo vya sanaa vya enzi ya zamani yani “iron” na “Neolithic.”. Kuna makumbusho karibu amabapo machimbo haya hupatikana na unakoweza kujionea.

Comments

Hide