Dialogue

Vocabulary

Learn New Words FAST with this Lesson’s Vocab Review List

Get this lesson’s key vocab, their translations and pronunciations. Sign up for your Free Lifetime Account Now and get 7 Days of Premium Access including this feature.

Or sign up using Facebook
Already a Member?

Lesson Notes

Unlock In-Depth Explanations & Exclusive Takeaways with Printable Lesson Notes

Unlock Lesson Notes and Transcripts for every single lesson. Sign Up for a Free Lifetime Account and Get 7 Days of Premium Access.

Or sign up using Facebook
Already a Member?

Lesson Transcript

KUNRADHI! NDOTO LAKO LAKUITA
Kitabu hiki kimeandikwa na Mbugua Mumbi ambaye ana shahada ya diploma katika somo la benki na hitimu zaidi katika diploma ya somo la uuzaji.
Sasa anaendeleza masomo yake katika usimamizi kimkakati wa biashara katika chuo kikuu cha Leicester kule Uingereza.
Kitabu hiki kinakupa mbinu ya kisayansi ya kufikia kiwango chochote cha mafanikio ambacho unaweza taka.
Kanuni zilizo onyeshwa hapa ni muhimu na lugha iliyotumika ni wazi ikiwa pamoja na mazoezi ya kusaidia kufahamu kwa ukamilifu matumizi yake.
Binadamu anafaa kujua ukweli kujihusu.
Kila binadamu ana hamu ya kuhitimu.
Hakuna mwanadamu angelipenda kutia bidii kwa mpango ilikutofaulu.
Hakuna kitu chochote kinaweza kupatikana bila kuhusisha mbinu kadhaa.
Ili jambo lolote liweze kufaulu, ni lazima sheria kadhaa ziweze kuhusishwa.
Sheria hizi ndizo ufunguo mkubwa katika kuhitimu na kuelewa matumizi yake ni hakikisho ya maisha bora unayotarajia.
Ujumbe ulio katika kitabu hiki inabadilisha na kuokoa maisha.
Njia ya kipekee ya ufunulizi uliyotumika inaunganisha hotuba na zoezi ya kibinafsi unao waweka watu kwenye safari inayopendeza ya kufaulu na yenye furaha.
Msingi wa kitabu hiki ni ukweli mtupu na kinaelezea uwezo mwingi ulimondani ya binadamu lakini hautumiki.
Kitabu hiki pia kitakufunza na kukusaidia kujigundua na kile ulicho nacho ili uweze kuishi maisha unayo tamani.
Kinafunza jinsi ya kufanya kazi kwa njia kadhaa kwa kuelezea jinsi ya kutumia akili na jinsi ya kuelewa maumbile.
Kitabu hiki kina vitendo na vilevile kina mafunzo.
Utagundua mambo yanayotia moyo na ya kushangaza.
Kupitia kitabu hiki, unauwezo wa kubadilisha na kuokoa maisha yako.
Utagundua ya kuwa yote yamo katika uwezo wako.

Comments

Hide