Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
How Do You Remember Words?
15 words
Word Image
How Do You Remember Words?
15 words
Mimi hujaribu kufikira kwa Kiswahili hivyo huwa kawaida kwa kufikiria kwangu.
(s)
I try to think in Swahili, so it becomes natural to my thought process.
Natumia kurudia, kusoma, kuandika and kuongea maneno kila baada ya nyingine.
(s)
I use repetition: reading, writing and speaking words over and over again.
Mimi hujaribu kutumia lugha kwa utaratibu kulingana na muktadha wa kuishi kwa kila siku.
(s)
I try to use the language routinely in the context of daily life.
Najifunza kuhusu mizizi ya maneno na jinsi maneno tofauti yanavyohusiana.
(s)
I learn about the roots of words and how different words are related to each other.
Nalinganisha maneno na michoro, picha na mandhari ya kufurahisha.
(s)
I associate words with drawings, pictures and funny scenes.
Mimi hutazama televisheni au video vya Youtube vilivyotengenezwa kwa minajili ya watoto.
(s)
I often watch TV or YouTube videos that are designed for young children.
Mimi huongea mara nyingi niwezavyo na wenyeji wa lugha.
(s)
I speak as often as possible with native speakers.
Mimi hutamuka maneno kwa sauti ya juu ili niweze kuyasikia.
(s)
I say words out loud so that I can actually hear them.
Mimi hulinganisha maneno mapya na maneno yanayofanana na lugha yangu ya mama.
(s)
I associate new words with words that sound similar in my native language.
Mimi hulinganisha maneno mapya na hadithi, michezo au sinema.
(s)
I associate new words with stories, games or movies.
Mimi husikiza nyimbo na kukaliri maneno ya wimbo.
(s)
I listen to songs and memorize the lyrics.
Mimi huainisha maneno mapya na maneno mengine ninayojuwa na ambayo yanayofanana.
(s)
I categorize new words with other related words that I already know.
Mimi hustahimili kufanya zoezi kila siku kwa kuongea na familia yangu au na ubwa wangu, hata ingawa hawaelewi ninachosema.
(s)
I am persistent in practicing everyday by talking to my family or my dogs, even though they don't understand me.
Kusoma mara nyingi niwezavyo, hasa gazeti, hunisaidia kukumbuka maneno.
(s)
Reading as much as possible, especially the newspaper, helps me to remember words.
Mimi hujaribu kutumia neno hilo lipya kwa sentensi rahisi kwa hivyo najifunza sentensi yote sio tu maneno pekee.
(s)
I try to use the new word in a simple sentence so I learn whole phrases, not just individual words.
0 Comments
Top