Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Vocabulary for the 25 Most Commonly Used Verbs of Any Language
25 words
Word Image
Vocabulary for the 25 Most Commonly Used Verbs of Any Language
25 words
kwenda
(v)
go
enda mbele na wima
go straight ahead
kula
(v)
eat
kula mezani
eat at a table
kunywa
(v)
drink
Mwanamke huyu hunywa maji
The woman drinks water.
kuongea
(v)
speak
Msemaji aliongea katika mkutano.
The speaker spoke at the conference.
njoo
(v)
come
Msichana huyu alisongea kamera ya vidio.
The girl came towards the video camera.
kusema
(v)
say
Watu wanasema "hujambo."
The people say, "Hello."
kulala
(v)
sleep
Msichana yuko karibu kulala.
The girl is about to sleep.
kuelewa
(v)
understand
Wanafunzi wa msigi walielewa swali hilo.
The elementary school students understood the problem.
kuuliza
(v)
ask
Mwanachuo anamuuliza profesa swali.
The university student is asking the professor a question.
kukimbia
(v)
run
Mwanamke alikimbia kwenye mkondo wake.
The woman ran on the track.
kuwaza
(v)
think
Mwanamke aliwaza kuhusu jibu.
The woman thought about the answer.
kujua
(v)
know
kuhitaji
(v)
need
Nahitaji usaidizi.
I need help.
chukua
(v)
take
Watu walichukua stroberi.
The people took the strawberries.
kutumia
(v)
use
Programa hutumia tarakilishi.
The programmer uses the computer.
fanya kazi
(p)
work
anza
(v)
start
Wanariadhaa walianza mashindano.
The athletes started the race.
kuona
(v)
see
Nitatazama tamthilia Jumapili.
I'll see a play on Sunday.
toka
(v)
leave
ondoka na mwenziwe
leave with a colleague
peana
(v)
give
Baba anampa mwanawe wa kijana sarafu.
The father is giving coins to his son.
kuwa
(v)
become
Kiwavi kiligeuka kuwa kipepeo.
The caterpillar became a butterfly.
ngoja
(v)
wait
ngojea treni
wait for a train
kuwepo
(v)
exist
mwito
(v)
call
cheza
(v)
play
0 Comments
Top