Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Common Health Problems
22 words
Word Image
Common Health Problems
22 words
Nina kikohozi.
(e)
I have a cough.
Kichwa kinaniuma.
(e)
I have a headache.
Nahisi kizunguzungu.
(e)
I feel dizzy.
Ninahara.
(e)
I have diarrhea.
Nina joto mwilini.
(e)
I have a fever.
Mimi nilishika homa
(s)
I caught a cold.
Mgongo wangu unauma.
(s)
My back hurts.
Mimi nimepata maumivu kwa shingo yangu.
(s)
I've got a pain in my neck.
Ngozi yangu inawasha.
(s)
My skin itches.
Nina maumivu ya meno.
(s)
I have a toothache.
Kidole changu kinavunja damu.
(s)
My finger's bleeding.
Nina maumivu ya tumbo.
(s)
I have a stomach ache.
Macho yangu ni kavu.
(s)
My eyes are dry.
Kifua changu chahisi mkazo.
(s)
My chest feels tight.
Nina maumivu makali ya kichwa.
(s)
I have a severe migraine.
Mabega yangu inauma.
(s)
My shoulders hurt.
Macho yangu ni mekundu.
(s)
My eyes are bloodshot.
Najisikia mwenye baridi.
(s)
I have chills.
Pua yangu ina makamasi.
(s)
My nose is stuffy.
Viungo vyangu vinauma.
(s)
My joints are aching.
Misuli yangu ina vidonda.
(s)
My muscles are sore.
Nina vidonda vya koo.
(s)
I have a sore throat.
0 Comments
Top