Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Do you know the Essential Summer Vocabulary?
16 words
Word Image
Do you know the Essential Summer Vocabulary?
16 words
kupumzika
(v)
rest
Mwanamume hupumzika kwenye machela.
The man rests in the hammock.
tikitimaji
(n)
watermelon
tikitimaji nzima na slesi ya tikiti maji
whole watermelon and a slice of watermelon
ufuo wa bahari
(p)
beach
Ufuo wa bahari lenye mchanga.
sandy beach
bahari
(n)
ocean
Poe kwenye sakafu ya bahari.
urchin on the ocean floor
pepeo
(n)
fan
pepeo stima
electric fan
likizo
(n)
vacation
Itanipasa nitafute kazi wakati wa likizo la kiangazi.
It is necessary to find a job during my summer vacation.
majira ya jua
(p)
summer
Tulikuwa na likizo ya majira ya jua katika pumziko uliokaribu.
We spent this year's summer vacation at a nearby resort.
kuogelea
(v)
swimming
mashindano ya kuogelea
swimming race
kuwa kwa njua
(p)
sunny
Hali ya anga leo ni jua na mawingu hapa na pale.
Today's weather is sunny with occasional clouds.
unyevu
(a)
humid
Kuna unyevu Agosti.
It's humid in August.
joto
(a)
hot
Jua linachomoza jangwa lililojoto.
The sun is heating the hot desert.
safiri
(v)
travel
Baada ya kuhitimu, nitasafiri duniani kwa mwaka moja.
After I graduate, I will travel the world for one year.
miwani za jua
(n)
sunglasses
Miwani hizi za jua ni mpya.
These sunglasses are new.
siagi barafu
(p)
ice cream
mandari
(n)
picnic
rangi shaba
(n)
tan
0 Comments
Top