Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Talking about Time in Swahili
23 words
Word Image
Talking about Time in Swahili
23 words
asubuhi
(n)
morning
kuoga asubuhi
shower in the morning
jioni
(n)
evening
jioni jijini
evening in the city
mchana
(n)
daytime
masaa ya mchana
daytime hours
usiku
(n)
nighttime
Ni masaa ya usiku tayari.
It's already nighttime.
saa
(n)
hour
Kuna sekunde (60) sitini kwa dakika moja.
There are sixty seconds in a minute.
dakika
(n)
minute
Kuna sekunde (60) sitini kwa dakika moja.
There are sixty seconds in a minute.
saa
(n)
o'clock
unusu
(n)
half past
saa tatu unusu
half past nine
wakati wa asubuhi
(p)
AM
Saa kumi na mbili ya asubuhi.
6 o'clock a.m.
saa ya jioni
(p)
PM
saa tano usiku
at 11 p.m.
Ni wakati gani sasa hivi?
(e)
What time is it now?
saa saba
(p)
one o'clock
saa nane mchana
(p)
two o'clock
Saa tisa mchana
(p)
three o'clock
Saa kumi mchana
(p)
four o'clock
Saa kumi na moja mchana.
(p)
five o'clock
saa kumi na mbili mchana.
(p)
six o'clock
saa moja
(p)
seven o'clock
saa mbili
(p)
eight o'clock
Saa tatu asubuhi.
(p)
nine o'clock
saa nne
(p)
ten o'clock
saa tano
(p)
eleven o'clock
saa sita
(p)
twelve o'clock
0 Comments
Top