Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Top 15 Compliments You Always Want to Hear
15 words
Word Image
Top 15 Compliments You Always Want to Hear
15 words
Unasura nzuri.
(e)
You're handsome.
Stakabadhi ya masomo na kazi yako ni ya kuvutia.
(e)
Your resume is impressive.
Ndani yako ni zuri kuliko nje yako.
(e)
Your inside is even more beautiful than your outside.
Wewe hufanya mimi kuataka kuwa mtu bora.
(e)
You make me want to be a better person.
Kazi nzuri!
(e)
Great job!
Najua kuwa ulikuwa mradi mgumu, lakini utendaji wako ulizidi matarajio yangu.
(e)
I know that it was a tough project, but your performance exceeded my expectations.
Wewe ni mwerevu!
(e)
You're smart!
Hiyo koti inaonekana nzuri kwako.
(e)
That jacket looks nice on you.
Wewe ni rafiki bora.
(e)
You are an awesome friend.
Una ucheshi wa hali ya juu.
(e)
You have a great sense of humor.
Tabasamu yako ni nzuri.
(e)
Your smile is beautiful.
Napenda upishi wako.
(e)
I love your cooking.
Una utalaam mkuu wa kuchagua.
(e)
You have good taste.
Unaonekana kuvutia.
(e)
You look gorgeous.
Unajua kutumia maneno.
(e)
You have a way with words.
0 Comments
Top