Dialogue - Swahili
Hide
| Mbuga La Wanyama La Aberdare. | ||
| Mlima wa aberdare uko katika nambari ya tatu kati ya milima ambayo ni mikubwa sana nchini kenya na unapatikana katika Kenya ya kati. | ||
| Mlima huu una vilele viwili ambavyo urefu wake ni mita 4300 juu ya usawa wa bahari . | ||
| Vilele hivi hufanya mabonde yenye umbo inayofanana na herufi “V” na kuna mito ambayo inapitia juu ya mabonde haya. | ||
| Hii hufanya mlima huu uwe mahali bora kwa wapenzi wa mazingira. | ||
| Kwenye eneo la juu ya mlima huu ni mbuga maarufu la Aberdare ambalo ni miongoni mwa maeneo makubwa ya kivutio cha utalii nchini. | ||
| Hifadhi hii imechukua eneo kubwa ya mlima huu ikichukua takribani 767 mita kupiga mraba kati ya hekta 103,300 kwa ujumla. | ||
| Makundi ya tembo na nyati ni miongoni mwa wanyama wengi ambao utapata katika harakati zao wakipita kwa kimya ndani ya msitu huu. | ||
| Wanyama ambao hupatikana kwa urahisi katika mbuga hili ni pamoja na vifaru weusi, chui, nyani weusi na weupe, kima punju na tumbili wa aina ya ‘syke’. | ||
| Upande wa juu wa msitu ni ukanda wa msitu wa mianzi ambao unakupa fursa ya kuona bongo, aina nadra ya swala anayeishi katika misitu ya mianzi. | ||
| Msitu huu pia una zaidi ya aina mia mbili hamsini za ndege na utapata nafasi nzuri ya kuwatazama. | ||
| Kuna makumpuni ya utalii ambayo yatakutembeza ndani ya mbuga hili kwa magari yao yakifahari ama pia unaweza zunguka kwa miguu. | ||
| Kama mnazuru mbuga hili katika kikundi,mnaweza chukua nafasi hii kupiga kambi katika maeneo mazuri ya kambi na kukaa hapa kwa muda mtakaopendelea. | ||
| Shughuli nyingine ambazo unaweza kushiriki ni pamoja na kukwea mlima au uvuvi katika mito inayopatikana katika eneo ya mlima huu. | ||
| Mlima huu pia una vyumba kadhaa vya malazi ambamo wanaouzuru wanaweza pata mahali pazuri pa kupumzika. |
| The Aberdare Ranges is the third highest mountain in Kenya and are in situated in central Kenya. The mountain has two peaks which soar to about 4300 meters above sea level giving way to deep v shaped valleys with streams intersecting. This makes the mountain an ideal place for landscape lovers. On the higher area of this mountain lies the famous Aberdare National which is among the major tourist attractions in the country. This park covers the better area of the mountain occupying roughly 767 square meters of the total 103,300 hectares. Herds of forest elephants and buffaloes are among the many animals that pass silently through the thick undergrowth of the forest. Animals that can be observed quite easily in the park include the black rhino, leopards, baboons, black and white colobus monkeys and the syke monkey. On the higher side of the forest is a belt of bamboo forest which gives you an opportunity to see the bongo, a rare species of antelope that lives in the bamboo forest. Bird viewing is rewarding, with around 250 bird species. To explore the park there are many companies on the ground which offer safari jeeps to take you round or you can go on foot if you like. If you are visiting the park as a group, you can take advantage of the beautiful camping sites and stay in the mountain for two or three days. Other activities that you can engage in include hiking or fishing in the rivers found on the mountain. The mountain has several lodges with suitable facilities if you are wondering where to spend the night when visiting this park. |
Main

English

Comments
Hide