Lesson Transcript

Listen to the dialogue with the text on the screen.
Mohamed, mimi hukimbia asubuhi kila siku.
Huh, wewe hufanya hivyo kila siku?
Kila siku kabla ya kula kiamsha kinywa.
Hiyo ni njia mwafaka ya kuanza siku yako.
Ukweli. Utashinda ukisikia mwenye nguvu na mchangamfu.
Mimi huchelewa kuamka kwa hivyo mimi huoga na kuanza shughuli za siku.
Ala! hata kiamsha kinywa haukuli?
Ndio, mimi huoga na kuondoka.
Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation.
kabla, 'before'
kimbia, 'to run'
oga, 'to shower'
amka, 'to wake up'
mwenye nguvu, 'energetic'
ondoka, 'to leave'
mazoezi, 'exercises'
kiamsha kinywa, 'breakfast'
chelewa, 'to be late'
kabla, 'before'
Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time.
Mohamed, mimi hukimbia asubuhi kila siku.
Huh, wewe hufanya hivyo kila siku?
Kila siku kabla ya kula kiamsha kinywa.
Hiyo ni njia mwafaka ya kuanza siku yako.
Ukweli. Utashinda ukisikia mwenye nguvu na mchangamfu.
Mimi huchelewa kuamka kwa hivyo mimi huoga na kuanza shughuli za siku.
Ala! hata kiamsha kinywa haukuli?
Ndio, mimi huoga na kuondoka.
This is the end of the lesson.

Comments

Hide