Lesson Transcript

Listen to the dialogue with the text on the screen.
Mko na nini cha kula?
Tuko na vyakula mbali mbali. Ungetaka nini?
Nipe orodha ya vyakula vyenyu nipate kuona kama mna nyama au samaki.
Ndio tuna nyama aina ya samaki, kuku, ng'ombe na mbuzi.
Nipe nione vitoweo vyenyu vyote.
Naam mama.
Haya basi nishaona. Niletee wali, kuku.
Je, utaagiza kinywaji kipi? Maziwa, maji ya matunda ama soda?
Tafadhali nisaidie na chai.
Haya naleta agizo lako pamoja na hesabu ya malipo.
Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation.
vyakula, 'foods'
agizo, 'order'
kinywaji, 'drink'
vitoweo, 'stew'
chai, 'tea'
samaki, 'fish'
nyama, 'meat'
wali, 'rice'
agiza, 'to order'
kuku, 'chicken'
Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time.
Mko na nini cha kula?
Tuko na vyakula mbali mbali. Ungetaka nini?
Nipe orodha ya vyakula vyenyu nipate kuona kama mna nyama au samaki.
Ndio tuna nyama aina ya samaki, kuku, ng'ombe na mbuzi.
Nipe nione vitoweo vyenyu vyote.
Naam mama.
Haya basi nishaona. Niletee wali, kuku.
Je, utaagiza kinywaji kipi? Maziwa, maji ya matunda ama soda?
Tafadhali nisaidie na chai.
Haya naleta agizo lako pamoja na hesabu ya malipo.
This is the end of the lesson.

Comments

Hide