Lesson Transcript
| Listen to the dialogue with the text on the screen. |
| Mko na nini cha kula? |
| Tuko na vyakula mbali mbali. Ungetaka nini? |
| Nipe orodha ya vyakula vyenyu nipate kuona kama mna nyama au samaki. |
| Ndio tuna nyama aina ya samaki, kuku, ng'ombe na mbuzi. |
| Nipe nione vitoweo vyenyu vyote. |
| Naam mama. |
| Haya basi nishaona. Niletee wali, kuku. |
| Je, utaagiza kinywaji kipi? Maziwa, maji ya matunda ama soda? |
| Tafadhali nisaidie na chai. |
| Haya naleta agizo lako pamoja na hesabu ya malipo. |
| Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation. |
| vyakula, 'foods' |
| agizo, 'order' |
| kinywaji, 'drink' |
| vitoweo, 'stew' |
| chai, 'tea' |
| samaki, 'fish' |
| nyama, 'meat' |
| wali, 'rice' |
| agiza, 'to order' |
| kuku, 'chicken' |
| Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time. |
| Mko na nini cha kula? |
| Tuko na vyakula mbali mbali. Ungetaka nini? |
| Nipe orodha ya vyakula vyenyu nipate kuona kama mna nyama au samaki. |
| Ndio tuna nyama aina ya samaki, kuku, ng'ombe na mbuzi. |
| Nipe nione vitoweo vyenyu vyote. |
| Naam mama. |
| Haya basi nishaona. Niletee wali, kuku. |
| Je, utaagiza kinywaji kipi? Maziwa, maji ya matunda ama soda? |
| Tafadhali nisaidie na chai. |
| Haya naleta agizo lako pamoja na hesabu ya malipo. |
| This is the end of the lesson. |
Comments
Hide