Lesson Transcript

Listen to the dialogue with the text on the screen.
Mmmhhh...mama umepika chakula tamu sana.
Ndio binti yangu. Singetaka kupika chakula kina viungo vingi kwa sababu yako.
Aaa..mama! mimi ni mkubwa na naweza kula chakula kina hata viungo vikali.
Haya basi chukua chakula unichemshie kwa vile ni baridi.
Haya basi. Na kina nyama nyororo sana.
Kina chumvi ya kutosha.
Sipendi chakula ambacho si kitamu.
Ndio. Nami sipendi chakula ambacho hakina supu na kina mafuta mengi.
Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation.
chakula, 'food'
mafuta mengi, 'too oily'
chemsha, 'to warm'
kali, 'hot'
kubwa, 'large'
viungo, 'spices'
tamu, 'delicious'
chumvi, 'salt'
mafuta mengi, 'too oily'
tamu, 'delicious'
Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time.
Mmmhhh...mama umepika chakula tamu sana.
Ndio binti yangu. Singetaka kupika chakula kina viungo vingi kwa sababu yako.
Aaa..mama! mimi ni mkubwa na naweza kula chakula kina hata viungo vikali.
Haya basi chukua chakula unichemshie kwa vile ni baridi.
Haya basi. Na kina nyama nyororo sana.
Kina chumvi ya kutosha.
Sipendi chakula ambacho si kitamu.
Ndio. Nami sipendi chakula ambacho hakina supu na kina mafuta mengi.
This is the end of the lesson.

Comments

Hide