Lesson Transcript
| Listen to the dialogue with the text on the screen. |
| Nimekasirika sana. |
| Kwa nini huna furaha? |
| Tuliambiana tukutane asubuhi na sasa ni adhuhuri. Kwa nini umechelewa? |
| Nimechelewa kwa sababu nilipitia njia iliyokuwa na msongamano wa magari. |
| Mimi nilikwambia nitakuja hapa saa tatu asubuhi. |
| Pole lakini nilikuwa nimetoka nyumbani mapema. |
| Haya sawa lakini umekosa. |
| Nasema pole kwa vile ni mimi nimekuweka. |
| Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation. |
| nyumbani, 'home' |
| kwa nini, 'why' |
| furaha, 'happiness' |
| kuweka, 'to keep' |
| kosa, 'to fail (to do something)' |
| kasirika, 'to be mad' |
| chelewa, 'to be late' |
| msongamano, 'traffic jam' |
| kwa nini, 'why' |
| kosa, 'to fail (to do something)' |
| Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time. |
| Nimekasirika sana. |
| Kwa nini huna furaha? |
| Tuliambiana tukutane asubuhi na sasa ni adhuhuri. Kwa nini umechelewa? |
| Nimechelewa kwa sababu nilipitia njia iliyokuwa na msongamano wa magari. |
| Mimi nilikwambia nitakuja hapa saa tatu asubuhi. |
| Pole lakini nilikuwa nimetoka nyumbani mapema. |
| Haya sawa lakini umekosa. |
| Nasema pole kwa vile ni mimi nimekuweka. |
| This is the end of the lesson. |
Comments
Hide