Lesson Transcript

Listen to the dialogue with the text on the screen.
Wikendi ijayo ningetaka twende safari.
Pia mimi. Tunaweza enda Mombasa tukafurahie upepo wa bahari na bichi.
Hilo ni wazo nzuri ndio hata tupite mbuga la wanyama huko Voi na njiani.
Ama twende tukaishi hemani huko Naivasha?
La...wikendi moja haitoshi.
Haya basi. Tupange twende wakati wa likizo ya Desemba.
Kwa hivyo, tuseme mipango yetu ni kwenda bichi wikendi ijayo na kwenda kuishi hemani likizo ya Desemba.
Hiyo ndiyo mipango yetu.
Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation.
wanyama, 'animals'
hema, 'tent'
safari, 'trip, journey'
Desemba, 'December'
likizo, 'holiday'
wikendi, 'weekend'
bichi, 'beach'
panga, 'to plan'
safari, 'trip, journey'
likizo, 'holiday'
Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time.
Wikendi ijayo ningetaka twende safari.
Pia mimi. Tunaweza enda Mombasa tukafurahie upepo wa bahari na bichi.
Hilo ni wazo nzuri ndio hata tupite mbuga la wanyama huko Voi na njiani.
Ama twende tukaishi hemani huko Naivasha?
La...wikendi moja haitoshi.
Haya basi. Tupange twende wakati wa likizo ya Desemba.
Kwa hivyo, tuseme mipango yetu ni kwenda bichi wikendi ijayo na kwenda kuishi hemani likizo ya Desemba.
Hiyo ndiyo mipango yetu.
This is the end of the lesson.

Comments

Hide