| Listen to the dialogue with the text on the screen. |
| Sasa ni wakati wa somo la hesabu. |
| Mimi hulipenda hili somo sana. |
| Leo tutasoma hesabu za asili mia, kuzidisha, kugawa na bei nafuu. |
| Mimi najua kuhusu bei nafuu kwa vile tukinunua vitu nyumbani mama yangu huangalia duka zilizo na bei nafuu. |
| Je, unajua kuhusu kuzidisha? |
| Ndio najua ni kinyume cha kugawa. |
| Ukigawa ishirini mara nne, jibu ni tano ambayo ni asilimia ishirini na tano. |
| Nimeelewa, na ukiunganisha nne mara tano, jibu ni ishirini. |
| Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation. |
| kugawa, 'to separate, to divide' |
| kinyume, 'opposites' |
| somo, 'lesson' |
| asilimia, 'percentage' |
| bei nafuu, 'promotional price' |
| jibu, 'answer' |
| kuzidisha, 'multiply' |
| hesabu, 'maths' |
| bei nafuu, 'promotional price' |
| somo, 'lesson' |
| Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time. |
| Sasa ni wakati wa somo la hesabu. |
| Mimi hulipenda hili somo sana. |
| Leo tutasoma hesabu za asili mia, kuzidisha, kugawa na bei nafuu. |
| Mimi najua kuhusu bei nafuu kwa vile tukinunua vitu nyumbani mama yangu huangalia duka zilizo na bei nafuu. |
| Je, unajua kuhusu kuzidisha? |
| Ndio najua ni kinyume cha kugawa. |
| Ukigawa ishirini mara nne, jibu ni tano ambayo ni asilimia ishirini na tano. |
| Nimeelewa, na ukiunganisha nne mara tano, jibu ni ishirini. |
| This is the end of the lesson. |
Comments
Hide