Lesson Transcript

Listen to the dialogue with the text on the screen.
Wewe ni yule mgonjwa ulikuwa umeitisha miadi na mimi?
Ndio. Mimi ninajihisi mgonjwa kwa mwili.
Unajihisi vipi haswa?
Ninaumwa na kichwa, macho na mgongo.
Uchungu wa kiasi kipi?
Uchungu wa kiwango cha juu.
Umeumwa kwa muda upi?
Leo ni siku ya tatu sasa.
Unahisi joto?
Ndio.
Haya ngoja matibabu.
Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation.
matibabu, 'treatment'
kichwa, 'head'
hisi, 'to feel'
umwa, 'to ache'
mgongo, 'back'
joto, 'hot'
miadi, 'appointment'
siku, 'day'
macho, 'eyes'
mgonjwa, 'patient'
Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time.
Wewe ni yule mgonjwa ulikuwa umeitisha miadi na mimi?
Ndio. Mimi ninajihisi mgonjwa kwa mwili.
Unajihisi vipi haswa?
Ninaumwa na kichwa, macho na mgongo.
Uchungu wa kiasi kipi?
Uchungu wa kiwango cha juu.
Umeumwa kwa muda upi?
Leo ni siku ya tatu sasa.
Unahisi joto?
Ndio.
Haya ngoja matibabu.
This is the end of the lesson.

Comments

Hide