Lesson Transcript
| Listen to the dialogue with the text on the screen. |
| Wewe ni yule mgonjwa ulikuwa umeitisha miadi na mimi? |
| Ndio. Mimi ninajihisi mgonjwa kwa mwili. |
| Unajihisi vipi haswa? |
| Ninaumwa na kichwa, macho na mgongo. |
| Uchungu wa kiasi kipi? |
| Uchungu wa kiwango cha juu. |
| Umeumwa kwa muda upi? |
| Leo ni siku ya tatu sasa. |
| Unahisi joto? |
| Ndio. |
| Haya ngoja matibabu. |
| Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation. |
| matibabu, 'treatment' |
| kichwa, 'head' |
| hisi, 'to feel' |
| umwa, 'to ache' |
| mgongo, 'back' |
| joto, 'hot' |
| miadi, 'appointment' |
| siku, 'day' |
| macho, 'eyes' |
| mgonjwa, 'patient' |
| Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time. |
| Wewe ni yule mgonjwa ulikuwa umeitisha miadi na mimi? |
| Ndio. Mimi ninajihisi mgonjwa kwa mwili. |
| Unajihisi vipi haswa? |
| Ninaumwa na kichwa, macho na mgongo. |
| Uchungu wa kiasi kipi? |
| Uchungu wa kiwango cha juu. |
| Umeumwa kwa muda upi? |
| Leo ni siku ya tatu sasa. |
| Unahisi joto? |
| Ndio. |
| Haya ngoja matibabu. |
| This is the end of the lesson. |
Comments
Hide