Lesson Transcript
| Listen to the dialogue with the text on the screen. |
| Sasa nitakupatia dawa na tafadhali uzifuate kwa utaratibu. |
| Ndio, daktari. |
| Hizi hapa ni za kukusaidia uwache kujiskia kutapika. |
| Mara ngapi kwa siku? |
| Mara mbili kwa siku lakini dalili zikizidi tumia tembe mbili mara tatu kwa siku. |
| Na maumivu yakizidi sana? |
| Rudi hapa hospitalini kwanza ukiwa na joto. |
| Sawa. Nitafuata maagizo kwa makini. |
| Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation. |
| nafuu, 'cheap' |
| uchungu, 'pain' |
| hospitalini, 'in the hospital' |
| joto, 'hot' |
| daktari, 'doctor' |
| tapika, 'to vomit' |
| maagizo, 'instructions' |
| dawa, 'medicine' |
| hospitalini, 'in the hospital' |
| dawa, 'medicine' |
| Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time. |
| Sasa nitakupatia dawa na tafadhali uzifuate kwa utaratibu. |
| Ndio, daktari. |
| Hizi hapa ni za kukusaidia uwache kujiskia kutapika. |
| Mara ngapi kwa siku? |
| Mara mbili kwa siku lakini dalili zikizidi tumia tembe mbili mara tatu kwa siku. |
| Na maumivu yakizidi sana? |
| Rudi hapa hospitalini kwanza ukiwa na joto. |
| Sawa. Nitafuata maagizo kwa makini. |
| This is the end of the lesson. |
Comments
Hide