Lesson Transcript

Listen to the dialogue with the text on the screen.
Sasa nitakupatia dawa na tafadhali uzifuate kwa utaratibu.
Ndio, daktari.
Hizi hapa ni za kukusaidia uwache kujiskia kutapika.
Mara ngapi kwa siku?
Mara mbili kwa siku lakini dalili zikizidi tumia tembe mbili mara tatu kwa siku.
Na maumivu yakizidi sana?
Rudi hapa hospitalini kwanza ukiwa na joto.
Sawa. Nitafuata maagizo kwa makini.
Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation.
nafuu, 'cheap'
uchungu, 'pain'
hospitalini, 'in the hospital'
joto, 'hot'
daktari, 'doctor'
tapika, 'to vomit'
maagizo, 'instructions'
dawa, 'medicine'
hospitalini, 'in the hospital'
dawa, 'medicine'
Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time.
Sasa nitakupatia dawa na tafadhali uzifuate kwa utaratibu.
Ndio, daktari.
Hizi hapa ni za kukusaidia uwache kujiskia kutapika.
Mara ngapi kwa siku?
Mara mbili kwa siku lakini dalili zikizidi tumia tembe mbili mara tatu kwa siku.
Na maumivu yakizidi sana?
Rudi hapa hospitalini kwanza ukiwa na joto.
Sawa. Nitafuata maagizo kwa makini.
This is the end of the lesson.

Comments

Hide