Lesson Transcript
| Listen to the dialogue with the text on the screen. |
| Mimi niko na njaa sana. |
| Kwani haukubeba vitafunio vyovyote? |
| Ndio. Nilikuwa nahisi nimeshiba. |
| Mimi sina njaa lakini nina kiu sana. |
| Masaa ya chakula cha mchana iko karibu. |
| Mimi wakati huo ukifika nitakunywa maji mengi. |
| Mimi nitakula chakula kingi. |
| Haya basi twende. |
| Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation. |
| njaa, 'hunger, hungry' |
| vitafunio, 'snacks' |
| beba, 'to carry' |
| kula, 'eat' |
| shiba, 'to be full' |
| chakula, 'food' |
| mchana, 'afternoon' |
| kunywa, 'to drink' |
| njaa, 'hunger, hungry' |
| chakula, 'food' |
| Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time. |
| Mimi niko na njaa sana. |
| Kwani haukubeba vitafunio vyovyote? |
| Ndio. Nilikuwa nahisi nimeshiba. |
| Mimi sina njaa lakini nina kiu sana. |
| Masaa ya chakula cha mchana iko karibu. |
| Mimi wakati huo ukifika nitakunywa maji mengi. |
| Mimi nitakula chakula kingi. |
| Haya basi twende. |
| This is the end of the lesson. |
Comments
Hide