Lesson Transcript

Listen to the dialogue with the text on the screen.
Mimi niko na njaa sana.
Kwani haukubeba vitafunio vyovyote?
Ndio. Nilikuwa nahisi nimeshiba.
Mimi sina njaa lakini nina kiu sana.
Masaa ya chakula cha mchana iko karibu.
Mimi wakati huo ukifika nitakunywa maji mengi.
Mimi nitakula chakula kingi.
Haya basi twende.
Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation.
njaa, 'hunger, hungry'
vitafunio, 'snacks'
beba, 'to carry'
kula, 'eat'
shiba, 'to be full'
chakula, 'food'
mchana, 'afternoon'
kunywa, 'to drink'
njaa, 'hunger, hungry'
chakula, 'food'
Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time.
Mimi niko na njaa sana.
Kwani haukubeba vitafunio vyovyote?
Ndio. Nilikuwa nahisi nimeshiba.
Mimi sina njaa lakini nina kiu sana.
Masaa ya chakula cha mchana iko karibu.
Mimi wakati huo ukifika nitakunywa maji mengi.
Mimi nitakula chakula kingi.
Haya basi twende.
This is the end of the lesson.

Comments

Hide