Lesson Transcript

Listen to the dialogue with the text on the screen.
Habari yako bwana?
Mzuri dada. Nikusaidie vipi?
Naomba unieleze njia ya kwenda kwenye hoteli ya Hilton.
Ukiwa hapa katika barabara ya Koinange, utarudi nyuma mita kama mia moja.
Ehe halafu.
Ugeuke kushoto, ufuate barabara ya Moi mpaka ulione jumba kubwa yenye rangi ya samawati.
Haya halafu nikifika hapo je?
Upenduke kulia halafu utaona maandishi.
Imeandikwa Hilton Hotel?
Ndio.
Haya asante.
Karibu.
Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation.
eleza, 'to explain'
barabara, 'road'
maandishi, 'text, writings'
jumba, 'building'
kushoto, 'left'
kulia, 'right'
penduka, 'to turn'
hoteli, 'hotel'
saidia, 'to help'
penduka, 'to turn'
Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time.
Habari yako bwana?
Mzuri dada. Nikusaidie vipi?
Naomba unieleze njia ya kwenda kwenye hoteli ya Hilton.
Ukiwa hapa katika barabara ya Koinange, utarudi nyuma mita kama mia moja.
Ehe halafu.
Ugeuke kushoto, ufuate barabara ya Moi mpaka ulione jumba kubwa yenye rangi ya samawati.
Haya halafu nikifika hapo je?
Upenduke kulia halafu utaona maandishi.
Imeandikwa Hilton Hotel?
Ndio.
Haya asante.
Karibu.
This is the end of the lesson.

Comments

Hide