Lesson Transcript
| Listen to the dialogue with the text on the screen. |
| Habari yako bwana? |
| Mzuri dada. Nikusaidie vipi? |
| Naomba unieleze njia ya kwenda kwenye hoteli ya Hilton. |
| Ukiwa hapa katika barabara ya Koinange, utarudi nyuma mita kama mia moja. |
| Ehe halafu. |
| Ugeuke kushoto, ufuate barabara ya Moi mpaka ulione jumba kubwa yenye rangi ya samawati. |
| Haya halafu nikifika hapo je? |
| Upenduke kulia halafu utaona maandishi. |
| Imeandikwa Hilton Hotel? |
| Ndio. |
| Haya asante. |
| Karibu. |
| Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation. |
| eleza, 'to explain' |
| barabara, 'road' |
| maandishi, 'text, writings' |
| jumba, 'building' |
| kushoto, 'left' |
| kulia, 'right' |
| penduka, 'to turn' |
| hoteli, 'hotel' |
| saidia, 'to help' |
| penduka, 'to turn' |
| Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time. |
| Habari yako bwana? |
| Mzuri dada. Nikusaidie vipi? |
| Naomba unieleze njia ya kwenda kwenye hoteli ya Hilton. |
| Ukiwa hapa katika barabara ya Koinange, utarudi nyuma mita kama mia moja. |
| Ehe halafu. |
| Ugeuke kushoto, ufuate barabara ya Moi mpaka ulione jumba kubwa yenye rangi ya samawati. |
| Haya halafu nikifika hapo je? |
| Upenduke kulia halafu utaona maandishi. |
| Imeandikwa Hilton Hotel? |
| Ndio. |
| Haya asante. |
| Karibu. |
| This is the end of the lesson. |
Comments
Hide