Lesson Transcript
| Listen to the dialogue with the text on the screen. |
| Sasa una mipango ipi baada ya kuyapokea matokeo yako ya shule ya upili? |
| Natarajia kupata nafasi katika chuo kikuu. |
| Ulichagua vyuo vipi? |
| Nilichagua chuo kikuu cha Moi kwa nafasi ya kwanza, Nairobi kikiwa cha pili na mwisho cha Kenyatta. |
| Kwa hizo tatu nichuo kipi wakipendelea zaidi? |
| Chuo nilichochagua kikiwa cha kwanza. |
| Ikiwa utaendelea kufuzu kama vile ulikuwa ukifanya katika shule ya msingi.. |
| Ehe..endelea... |
| Na ile ya upili, utaweza kuhitimu kwa nafasi ya kwanza. |
| Asante mama. |
| Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation. |
| kwanza, 'first' |
| chagua, 'to pick' |
| nafasi, 'place' |
| mipango, 'plans' |
| upili, 'secondary' |
| pili, 'second' |
| matokeo, 'result' |
| mwisho, 'last' |
| chuo, 'college' |
| msingi, 'basic' |
| Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time. |
| Sasa una mipango ipi baada ya kuyapokea matokeo yako ya shule ya upili? |
| Natarajia kupata nafasi katika chuo kikuu. |
| Ulichagua vyuo vipi? |
| Nilichagua chuo kikuu cha Moi kwa nafasi ya kwanza, Nairobi kikiwa cha pili na mwisho cha Kenyatta. |
| Kwa hizo tatu nichuo kipi wakipendelea zaidi? |
| Chuo nilichochagua kikiwa cha kwanza. |
| Ikiwa utaendelea kufuzu kama vile ulikuwa ukifanya katika shule ya msingi.. |
| Ehe..endelea... |
| Na ile ya upili, utaweza kuhitimu kwa nafasi ya kwanza. |
| Asante mama. |
| This is the end of the lesson. |
Comments
Hide