Lesson Transcript

Listen to the dialogue with the text on the screen.
Ali mwanangu, mimi ni rafiki ya mama yako.
Ndio nakukumbuka. Wewe ni mkuu wa elimu wilayani.
Wewe ni mtoto mwerevu sana.
Asante. Nitafanya aje niweze kufuzu katika masomo yangu?
Sikiza waalimu vizuri na usome vitabu vyako.
Aha, kumbe niko kwa njia mwafaka.
Ndio kama wewe hufanya hivyo.
Haya basi Bi Fatuma. Mimi narudi kusoma na wenzangu.
Haya mwanangu. Nakutakia kila la heri.
Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation.
elimu, 'education'
kutakia, 'to wish'
rafiki, 'friend'
kama, 'if'
kufuzu, 'to pass'
sikiza, 'to listen'
mwerevu, 'intelligent'
elimu, 'education'
kama, 'if'
kutakia, 'to wish'
Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time.
Ali mwanangu, mimi ni rafiki ya mama yako.
Ndio nakukumbuka. Wewe ni mkuu wa elimu wilayani.
Wewe ni mtoto mwerevu sana.
Asante. Nitafanya aje niweze kufuzu katika masomo yangu?
Sikiza waalimu vizuri na usome vitabu vyako.
Aha, kumbe niko kwa njia mwafaka.
Ndio kama wewe hufanya hivyo.
Haya basi Bi Fatuma. Mimi narudi kusoma na wenzangu.
Haya mwanangu. Nakutakia kila la heri.
This is the end of the lesson.

Comments

Hide