Lesson Transcript
| Listen to the dialogue with the text on the screen. |
| Ali mwanangu, mimi ni rafiki ya mama yako. |
| Ndio nakukumbuka. Wewe ni mkuu wa elimu wilayani. |
| Wewe ni mtoto mwerevu sana. |
| Asante. Nitafanya aje niweze kufuzu katika masomo yangu? |
| Sikiza waalimu vizuri na usome vitabu vyako. |
| Aha, kumbe niko kwa njia mwafaka. |
| Ndio kama wewe hufanya hivyo. |
| Haya basi Bi Fatuma. Mimi narudi kusoma na wenzangu. |
| Haya mwanangu. Nakutakia kila la heri. |
| Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation. |
| elimu, 'education' |
| kutakia, 'to wish' |
| rafiki, 'friend' |
| kama, 'if' |
| kufuzu, 'to pass' |
| sikiza, 'to listen' |
| mwerevu, 'intelligent' |
| elimu, 'education' |
| kama, 'if' |
| kutakia, 'to wish' |
| Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time. |
| Ali mwanangu, mimi ni rafiki ya mama yako. |
| Ndio nakukumbuka. Wewe ni mkuu wa elimu wilayani. |
| Wewe ni mtoto mwerevu sana. |
| Asante. Nitafanya aje niweze kufuzu katika masomo yangu? |
| Sikiza waalimu vizuri na usome vitabu vyako. |
| Aha, kumbe niko kwa njia mwafaka. |
| Ndio kama wewe hufanya hivyo. |
| Haya basi Bi Fatuma. Mimi narudi kusoma na wenzangu. |
| Haya mwanangu. Nakutakia kila la heri. |
| This is the end of the lesson. |
Comments
Hide