Lesson Transcript
| Listen to the dialogue with the text on the screen. |
| Wacha tukunywe kahawa moto sasa. |
| Unakumbuka wakati tulikuwa na yule mdosi, wa asili ya kijerumani? |
| Aha! Najua wataka kusema nini. Hakukuwa kunakosa kahawa ofisini. |
| Ukweli kabisa. Karibu tuwe wanywaji sugu wa kahawa. |
| Huyo mdosi alikuwa mzuri sana. |
| Ndio. Tulikuwa na vinywaji na vitafunio afisini kila wakati. |
| Haya basi. Wacha tuagize kahawa nyeusi na vitafunio. |
| Hizo kumbukumbu zimenirudisha mbali sana. |
| Sawa. Kunywa kahawa twende. |
| Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation. |
| mdosi, 'boss' |
| agiza, 'to order' |
| kunywa, 'to drink' |
| sugu, 'addict' |
| asili, 'origin' |
| vitafunio, 'snacks' |
| kahawa, 'coffee' |
| kumbu kumbu, 'memories' |
| ofisini, 'office' |
| kunywa, 'to drink' |
| Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time. |
| Wacha tukunywe kahawa moto sasa. |
| Unakumbuka wakati tulikuwa na yule mdosi, wa asili ya kijerumani? |
| Aha! Najua wataka kusema nini. Hakukuwa kunakosa kahawa ofisini. |
| Ukweli kabisa. Karibu tuwe wanywaji sugu wa kahawa. |
| Huyo mdosi alikuwa mzuri sana. |
| Ndio. Tulikuwa na vinywaji na vitafunio afisini kila wakati. |
| Haya basi. Wacha tuagize kahawa nyeusi na vitafunio. |
| Hizo kumbukumbu zimenirudisha mbali sana. |
| Sawa. Kunywa kahawa twende. |
| This is the end of the lesson. |
Comments
Hide