Lesson Transcript

Listen to the dialogue with the text on the screen.
Wacha tukunywe kahawa moto sasa.
Unakumbuka wakati tulikuwa na yule mdosi, wa asili ya kijerumani?
Aha! Najua wataka kusema nini. Hakukuwa kunakosa kahawa ofisini.
Ukweli kabisa. Karibu tuwe wanywaji sugu wa kahawa.
Huyo mdosi alikuwa mzuri sana.
Ndio. Tulikuwa na vinywaji na vitafunio afisini kila wakati.
Haya basi. Wacha tuagize kahawa nyeusi na vitafunio.
Hizo kumbukumbu zimenirudisha mbali sana.
Sawa. Kunywa kahawa twende.
Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation.
mdosi, 'boss'
agiza, 'to order'
kunywa, 'to drink'
sugu, 'addict'
asili, 'origin'
vitafunio, 'snacks'
kahawa, 'coffee'
kumbu kumbu, 'memories'
ofisini, 'office'
kunywa, 'to drink'
Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time.
Wacha tukunywe kahawa moto sasa.
Unakumbuka wakati tulikuwa na yule mdosi, wa asili ya kijerumani?
Aha! Najua wataka kusema nini. Hakukuwa kunakosa kahawa ofisini.
Ukweli kabisa. Karibu tuwe wanywaji sugu wa kahawa.
Huyo mdosi alikuwa mzuri sana.
Ndio. Tulikuwa na vinywaji na vitafunio afisini kila wakati.
Haya basi. Wacha tuagize kahawa nyeusi na vitafunio.
Hizo kumbukumbu zimenirudisha mbali sana.
Sawa. Kunywa kahawa twende.
This is the end of the lesson.

Comments

Hide