Lesson Transcript
| Listen to the dialogue with the text on the screen. |
| Habari ya asubuhi kijana? |
| Nzuri sana bibi. |
| Nimeona umeweka pesa yako kwa mfuko hadharani. |
| Ndio. Iko hapa. |
| Ni vizuri ujue ya kwamba wezi ni wengi kwa mitaa. Usifanye shughuli ya pesa hadharani. |
| Hapa ni kwa benki. |
| Ndio lakini wezi wajanja wanavaa suti na kujumuika na watu humu ndani. |
| Wewe ni karani wa pesa? |
| Ndio nimekuona nikaamua kukuarifu. |
| Haya basi. Asante. |
| Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation. |
| wajanja, 'smart, cunning' |
| hadharani, 'public' |
| hapa, 'here' |
| kijana, 'young man' |
| kukuarifu, 'to advise' |
| karani, 'clerk' |
| benki, 'bank' |
| mitaani, 'streets' |
| amua, 'to decide' |
| Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time. |
| Habari ya asubuhi kijana? |
| Nzuri sana bibi. |
| Nimeona umeweka pesa yako kwa mfuko hadharani. |
| Ndio. Iko hapa. |
| Ni vizuri ujue ya kwamba wezi ni wengi kwa mitaa. Usifanye shughuli ya pesa hadharani. |
| Hapa ni kwa benki. |
| Ndio lakini wezi wajanja wanavaa suti na kujumuika na watu humu ndani. |
| Wewe ni karani wa pesa? |
| Ndio nimekuona nikaamua kukuarifu. |
| Haya basi. Asante. |
| This is the end of the lesson. |
Comments
Hide