Lesson Transcript

Listen to the dialogue with the text on the screen.
Habari ya asubuhi kijana?
Nzuri sana bibi.
Nimeona umeweka pesa yako kwa mfuko hadharani.
Ndio. Iko hapa.
Ni vizuri ujue ya kwamba wezi ni wengi kwa mitaa. Usifanye shughuli ya pesa hadharani.
Hapa ni kwa benki.
Ndio lakini wezi wajanja wanavaa suti na kujumuika na watu humu ndani.
Wewe ni karani wa pesa?
Ndio nimekuona nikaamua kukuarifu.
Haya basi. Asante.
Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation.
wajanja, 'smart, cunning'
hadharani, 'public'
hapa, 'here'
kijana, 'young man'
kukuarifu, 'to advise'
karani, 'clerk'
benki, 'bank'
mitaani, 'streets'
amua, 'to decide'
Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time.
Habari ya asubuhi kijana?
Nzuri sana bibi.
Nimeona umeweka pesa yako kwa mfuko hadharani.
Ndio. Iko hapa.
Ni vizuri ujue ya kwamba wezi ni wengi kwa mitaa. Usifanye shughuli ya pesa hadharani.
Hapa ni kwa benki.
Ndio lakini wezi wajanja wanavaa suti na kujumuika na watu humu ndani.
Wewe ni karani wa pesa?
Ndio nimekuona nikaamua kukuarifu.
Haya basi. Asante.
This is the end of the lesson.

Comments

Hide