| Listen to the dialogue with the text on the screen. |
| Sasa ni wakati wa masomo ya mazoezi. |
| Mimi naweza cheza kandanda kwa vile naipenda sana. |
| Hivyo ni vizuri mwanafunzi wangu. |
| Mimi siwezi kukimbia ama kuimba. Sio mojawapo ya vipawa vyangu |
| Maria lakini pia utie bidii sana kwa masomo pia. |
| Ndio mwalimu. Mimi naweza kusikiza mafunzo, kusoma vitabu na kucheza kandanda. |
| Hapo ni ukweli kwa vile wewe unapita mitihani yako kwa alama ya juu sana. |
| Asante kwa kunipa hongera. |
| Haya basi sasa wacha sisi sote twende kiwanjani. |
| Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation. |
| mtihani, 'examination, test, exam' |
| kandanda, 'soccer' |
| mafunzo, 'lessons' |
| kiwanjani, 'field' |
| mwanafunzi, 'student (male)' |
| kuimba, 'to sing' |
| hongera, 'congratulations' |
| wakati, 'time' |
| masomo, 'studies' |
| mafunzo, 'lessons' |
| Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time. |
| Sasa ni wakati wa masomo ya mazoezi. |
| Mimi naweza cheza kandanda kwa vile naipenda sana. |
| Hivyo ni vizuri mwanafunzi wangu. |
| Mimi siwezi kukimbia ama kuimba. Sio mojawapo ya vipawa vyangu |
| Maria lakini pia utie bidii sana kwa masomo pia. |
| Ndio mwalimu. Mimi naweza kusikiza mafunzo, kusoma vitabu na kucheza kandanda. |
| Hapo ni ukweli kwa vile wewe unapita mitihani yako kwa alama ya juu sana. |
| Asante kwa kunipa hongera. |
| Haya basi sasa wacha sisi sote twende kiwanjani. |
| This is the end of the lesson. |
Comments
Hide