Lesson Transcript

Listen to the dialogue with the text on the screen.
Habari yako msichana?
Mzuri sana.
Ningependa tujuane zaidi ukikubali mualiko wangu. Kesho yako iko vipi?
Sina kazi nyingi sana.
Kwa hivyo tunaweza enda matembezi?
Ndio. Asante kwa mualiko wako.
Haya basi.
Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation.
mualiko, 'invitation'
msichana, 'girl'
matembezi, 'walk'
juana, 'to know each other'
kazi, 'job, work, career'
kubali, 'to accept'
juana, 'to know each other'
matembezi, 'walk'
mualiko, 'invitation'
matembezi, 'walk'
Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time.
Habari yako msichana?
Mzuri sana.
Ningependa tujuane zaidi ukikubali mualiko wangu. Kesho yako iko vipi?
Sina kazi nyingi sana.
Kwa hivyo tunaweza enda matembezi?
Ndio. Asante kwa mualiko wako.
Haya basi.
This is the end of the lesson.

Comments

Hide