Lesson Transcript

Listen to the dialogue with the text on the screen.
Nikilinganisha kazi yako ya hapo awali na ya sasa, ya hapo awali ilikuwa nzuri sana.
Nimekuwa mwenye makini.
Pengine ni kwa sababu ya maisha ya kijamii.
Niko na mpenzi.
Huenda ikawa ni mambo ya uhusiano yenyu inakuadhiri?
Nitajaribu kuwa mzuri kwa kazi yangu.
Haya basi. Natumai unajua ni kipi kimekuleta hapa.
Ndio, mdosi.
Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation.
linganisha, 'to compare'
maisha, 'life'
awali, 'initially'
makini, 'attentive'
mpenzi, 'lover, boyfriend, girlfriend'
Natumai, 'to hope'
uhusiano, 'relationship'
makini, 'attentive'
linganisha, 'to compare'
makini, 'attentive'
Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time.
Nikilinganisha kazi yako ya hapo awali na ya sasa, ya hapo awali ilikuwa nzuri sana.
Nimekuwa mwenye makini.
Pengine ni kwa sababu ya maisha ya kijamii.
Niko na mpenzi.
Huenda ikawa ni mambo ya uhusiano yenyu inakuadhiri?
Nitajaribu kuwa mzuri kwa kazi yangu.
Haya basi. Natumai unajua ni kipi kimekuleta hapa.
Ndio, mdosi.
This is the end of the lesson.

Comments

Hide