Lesson Transcript
| Listen to the dialogue with the text on the screen. |
| Nikilinganisha kazi yako ya hapo awali na ya sasa, ya hapo awali ilikuwa nzuri sana. |
| Nimekuwa mwenye makini. |
| Pengine ni kwa sababu ya maisha ya kijamii. |
| Niko na mpenzi. |
| Huenda ikawa ni mambo ya uhusiano yenyu inakuadhiri? |
| Nitajaribu kuwa mzuri kwa kazi yangu. |
| Haya basi. Natumai unajua ni kipi kimekuleta hapa. |
| Ndio, mdosi. |
| Now you'll hear the key vocabulary followed by the English translation. |
| linganisha, 'to compare' |
| maisha, 'life' |
| awali, 'initially' |
| makini, 'attentive' |
| mpenzi, 'lover, boyfriend, girlfriend' |
| Natumai, 'to hope' |
| uhusiano, 'relationship' |
| makini, 'attentive' |
| linganisha, 'to compare' |
| makini, 'attentive' |
| Finally let's review the dialogue again, see if you can understand more this time. |
| Nikilinganisha kazi yako ya hapo awali na ya sasa, ya hapo awali ilikuwa nzuri sana. |
| Nimekuwa mwenye makini. |
| Pengine ni kwa sababu ya maisha ya kijamii. |
| Niko na mpenzi. |
| Huenda ikawa ni mambo ya uhusiano yenyu inakuadhiri? |
| Nitajaribu kuwa mzuri kwa kazi yangu. |
| Haya basi. Natumai unajua ni kipi kimekuleta hapa. |
| Ndio, mdosi. |
| This is the end of the lesson. |
Comments
Hide