| Hi everyone, I’m Gabriella, how are your |
| Swahili listening skills? |
| In this video you’ll have a chance to test |
| them out with a quiz. |
| First you’ll see an image and hear a question. |
| Next comes a short dialogue. |
| Listen carefully and see if you can answer |
| correctly. |
| We’ll show you the answer at the end. |
| Are you ready? |
| Mume na mukewe wanatazama rasimu ya sakafu. |
| Wanaenda kuona nyumba ipi? |
| Na hili je? |
| Lina sebule nzuri na kubwa. |
| Hmm, napenda sebule kubwa, lakini pia nataka |
| nafasi ya kuegesha gari. |
| Natuone....na hili je? |
| Ndio, hilo ni nzuri! |
| Twaweza kwenda kuiona? |
| Ngoja kidogo, kabati lake si ni ndogo sana? |
| Jambo njema. |
| Hmm, panaonekana hamna lile lililo timilifu...ngoja, |
| na hili je? |
| Lina kila tunalohitaji, sivyo? |
| Na kabati lake pia ni kubwa mno. |
| Tuende tukalitazame. |
| Sawa. |
| Wanaenda kuona nyumba ipi? |
| Mume na mukewe wanatazama rasimu ya sakafu. |
| Wanaenda kuona nyumba ipi? |
| Na hili je? |
| Lina sebule nzuri na kubwa. |
| Hmm, napenda sebule kubwa, lakini pia nataka |
| nafasi ya kuegesha gari. |
| Natuone....na hili je? |
| Ndio, hilo ni nzuri! |
| Twaweza kwenda kuiona? |
| Ngoja kidogo, kabati lake si ni ndogo sana? |
| Jambo njema. |
| Hmm, panaonekana hamna lile lililo timilifu...ngoja, |
| na hili je? |
| Lina kila tunalohitaji, sivyo? |
| Na kabati lake pia ni kubwa mno. |
| Tuende tukalitazame. |
| Sawa. |
| Did you get it right? |
| I hope you learned something from this quiz. |
| Let us know if you have any questions. |
| See you next time! |
Comments
Hide