Dialogue

Vocabulary (Review)

Learn New Words FAST with this Lesson’s Vocab Review List

Get this lesson’s key vocab, their translations and pronunciations. Sign up for your Free Lifetime Account Now and get 7 Days of Premium Access including this feature.

Lesson Transcript

How are your Swahili listening skills?
First you’ll see an image and hear a question.
Next comes a short dialogue.
Listen carefully and see if you can answer correctly.
We’ll show you the answer at the end.
Are you ready?
Mwanamume na mwanamke wanazungumza kuhusu
ratiba ya kuhama.
Ni lini watahama?
Nadhani tuamue tarehe ya kuhama na kuita kampuni
ya kuhama.
Ndiyo.
Nilikuwa naangalia baadhi ya makampuni ya
kuhama.
Sitaki kulipa fedha nyingi.
Nakubali.
Kampuni hii inapunguzo, kwa mfano wanapunguza
kwa kiasi ya asilimia (10) kumi ukihifadhi
angalau mwezi mmoja kabla ya siku ya kuhama.
Angalau mwezi mmoja kabla ya siku ya kuhama?
Hivyo basi itatubidi kuhama baada ya Desemba
15 (kumi na tano) ili kupata punguzo.
Ndiyo.
Na kuna punguzo zaidi tukihifadhi katika siku
isiyo ya wikendi.
Katika siku isiyo ya wikendi?
Naam, nina mkutano Jumatatu asubuhi, na maonyesho
ni Jumanne na Jumatano, hivyo ...
Ijumaa itakuwa siku nzuri kwa sababu tutaweza
kuandaa nyumba hiyo mpya wikendi.
Ndiyo.
ee, subiri.
Wanasema kuna ""punguzo ya asilimia 15 %(kumi
na tano) Jumatatu hadi Alhamisi na ya asilimia
5 %(tano) Ijumaa.""
Ee.....
Je, unataka kufanya nini?
Wachatupate kwa bei nafuu iwezekanavyo.
Hatahivyo, nitakuwa nimemalizana na maonyesho
wakati huo, .

Did you get it right?
I hope you learned something from this quiz.
Let us know if you have any questions.
See you next time!

Comments

Hide