| Hi everyone, I’m Gabriella, how are your |
| Swahili listening skills? |
| In this video you’ll have a chance to test |
| them out with a quiz. |
| First you’ll see an image and hear a question. |
| Next comes a short dialogue. |
| Listen carefully and see if you can answer correctly. |
| We’ll show you the answer at the end. |
| Are you ready? |
| Mwanamume ananunua wakati wa kunadi wa kupatana |
| bei. |
| Ni nini na kwa bei gani ataendakununua. |
| Samahani. |
| Je, shati hili linapatikana tu katika seti |
| ya tatu? |
| Tunaweza kuuza tofauti, lakini itakuwa bei |
| ghali kwa kila shati. |
| Sawa, naam, sihitaji shati tatu zinazofanana. |
| Nifanye nini? |
| Ukinunua seti hizi tatu za tai pia, tutakupa |
| punguzo katika shati iliziwe tatu kwa bei |
| ya moja. |
| Naona, seti tatu ya tai na pia napata seti |
| tatu ya shati kwa bei ya moja. |
| Ndivyo. |
| Sawa, nitapeana shati zile zingine mbili kwa |
| mtu mwingine. |
| Sawa Bwana. |
| Ni njia gebali ya kuweka akiba. |

| Did you get it right? |
| I hope you learned something from this quiz. |
| Let us know if you have any questions. |
| See you next time! |
Comments
Hide