Dialogue

Vocabulary (Review)

Learn New Words FAST with this Lesson’s Vocab Review List

Get this lesson’s key vocab, their translations and pronunciations. Sign up for your Free Lifetime Account Now and get 7 Days of Premium Access including this feature.

Lesson Transcript

Hi everyone, I’m Gabriella, how are your
Swahili listening skills?
In this video you’ll have a chance to test
them out with a quiz.
First you’ll see an image and hear a question.
Next comes a short dialogue.
Listen carefully and see if you can answer correctly.
We’ll show you the answer at the end.
Are you ready?
Mwanamume ananunua wakati wa kunadi wa kupatana
bei.
Ni nini na kwa bei gani ataendakununua.
Samahani.
Je, shati hili linapatikana tu katika seti
ya tatu?
Tunaweza kuuza tofauti, lakini itakuwa bei
ghali kwa kila shati.
Sawa, naam, sihitaji shati tatu zinazofanana.
Nifanye nini?
Ukinunua seti hizi tatu za tai pia, tutakupa
punguzo katika shati iliziwe tatu kwa bei
ya moja.
Naona, seti tatu ya tai na pia napata seti
tatu ya shati kwa bei ya moja.
Ndivyo.
Sawa, nitapeana shati zile zingine mbili kwa
mtu mwingine.
Sawa Bwana.
Ni njia gebali ya kuweka akiba.

Did you get it right?
I hope you learned something from this quiz.
Let us know if you have any questions.
See you next time!

Comments

Hide