| How are your Swahili listening skills? |
| First you’ll see an image and hear a question. |
| Next comes a short dialogue. |
| Listen carefully and see if you can answer correctly. |
| We’ll show you the answer at the end. |
| Are you ready? |
| Mwanamke apeana ripoti kuhusu uuzaji wa begi. |
| Ni begi gani lililouza zaidi? |
| Hili ndilo ripoti ya begi za ya wanawake wetu |
| tulizozindua mwezi jana. |
| Kwanza, kuhusu rangi, nyeusi ndilo lililkuwa |
| nambari ya kwanza kwa ununuzi. |
| Kisha inafuatwa na nyuepe na bluu ya wingu. |
| Manjano haikuuza vizuri sana. |
| Manjano haikuuza vizuri, naam... na umbo je? |
| Begi za saizi kubwa ziliuza kwa wingi kuliko |
| za saizi ndogo. |
| Begi unazoweza kuweka kitabu cha saizi ya |
| A4 au jarida ndizo zilizosifika sana. |
| Sawa. |
| Kuhusu mikono, ngozi silifika sana kushinda |
| mnyororo. |
| Naona. |
| Inaonekana kuwa begi zinazoweza kuafikiana |
| na mtindo rasmi zinauza sana. |
| Ndivyo. |
| Kwa hivyo, nadhani tutumie rangi tulivu kama |
| ya krimu au hanja kwa mkusanyiko wetu mpya. |
| Sawa basi. |
| Wachatutumie rangi ya krimu kwa rangi mpya |
| inayofuata. |
| Unaweza ku komesha toleo ya begi za manjano. |

| Did you get it right? |
| I hope you learned something from this quiz. |
| Let us know if you have any questions. |
| See you next time! |
Comments
Hide