Dialogue

Vocabulary (Review)

Learn New Words FAST with this Lesson’s Vocab Review List

Get this lesson’s key vocab, their translations and pronunciations. Sign up for your Free Lifetime Account Now and get 7 Days of Premium Access including this feature.

Lesson Transcript

How are your Swahili listening skills?
First you’ll see an image and hear a question.
Next comes a short dialogue.
Listen carefully and see if you can answer correctly.
We’ll show you the answer at the end.
Are you ready?
Mwanamke apeana ripoti kuhusu uuzaji wa begi.
Ni begi gani lililouza zaidi?
Hili ndilo ripoti ya begi za ya wanawake wetu
tulizozindua mwezi jana.
Kwanza, kuhusu rangi, nyeusi ndilo lililkuwa
nambari ya kwanza kwa ununuzi.
Kisha inafuatwa na nyuepe na bluu ya wingu.
Manjano haikuuza vizuri sana.
Manjano haikuuza vizuri, naam... na umbo je?
Begi za saizi kubwa ziliuza kwa wingi kuliko
za saizi ndogo.
Begi unazoweza kuweka kitabu cha saizi ya
A4 au jarida ndizo zilizosifika sana.
Sawa.
Kuhusu mikono, ngozi silifika sana kushinda
mnyororo.
Naona.
Inaonekana kuwa begi zinazoweza kuafikiana
na mtindo rasmi zinauza sana.
Ndivyo.
Kwa hivyo, nadhani tutumie rangi tulivu kama
ya krimu au hanja kwa mkusanyiko wetu mpya.
Sawa basi.
Wachatutumie rangi ya krimu kwa rangi mpya
inayofuata.
Unaweza ku komesha toleo ya begi za manjano.

Did you get it right?
I hope you learned something from this quiz.
Let us know if you have any questions.
See you next time!

Comments

Hide