Dialogue

Vocabulary (Review)

Learn New Words FAST with this Lesson’s Vocab Review List

Get this lesson’s key vocab, their translations and pronunciations. Sign up for your Free Lifetime Account Now and get 7 Days of Premium Access including this feature.

Lesson Transcript

How are your Swahili listening skills?
First you’ll see an image and hear a question.
Next comes a short dialogue.
Listen carefully and see if you can answer correctly.
We’ll show you the answer at the end.
Are you ready?
Mwanamume anapiga simu kwa hospitali.
Uchunguzi wa afya uko lini katika hospitali?
Samahani.
Naweza weka hifadhi ya uchunguzi wa afya?
Hakika.
Uchunguzi wa afya upo tu Jumatatu, Jumatano
na Jumamosi, tofauti na uchunguzi wa kawaida.
Ungelipenda gani?
Kunayo nafasi Jumamosi hii?
Ndio.
Tunafungua asubuhi pekee kila Jumamosi.
Ni sawa kwako?
Asubuhi pekee?
Hmm, hiyo ni ngumu kidogo.
Unafungua hadi wakati gani masiku isiyo ya
wikendi?
Tunafungua hadi saa kumi na mbili jioni Jumatatu
na hadi saa mbili usiku Jumatano.
Naona.
Mnafungua wakati gani asubuhi?
Tunafungua saa mbili asubuhi.
Asubuhi yote ya wiki kesho imehifadhiwa tayari,
lakini unaweza ngojea hadi wiki baada ya wiki
kesho, Jumatatu na Jumatano zote ziko wazi
kuanzia saa mbili asubuhi.
Sawa.
Nitapiga simu tena baada ya kuangalia ratiba
yangu.
Sawa Bwana.

Did you get it right?
I hope you learned something from this quiz.
Let us know if you have any questions.
See you next time!

Comments

Hide