| How are your Swahili listening skills? |
| First you’ll see an image and hear a question. |
| Next comes a short dialogue. |
| Listen carefully and see if you can answer correctly. |
| We’ll show you the answer at the end. |
| Are you ready? |
| Mwanamume anapiga simu kwa hospitali. |
| Uchunguzi wa afya uko lini katika hospitali? |
| Samahani. |
| Naweza weka hifadhi ya uchunguzi wa afya? |
| Hakika. |
| Uchunguzi wa afya upo tu Jumatatu, Jumatano |
| na Jumamosi, tofauti na uchunguzi wa kawaida. |
| Ungelipenda gani? |
| Kunayo nafasi Jumamosi hii? |
| Ndio. |
| Tunafungua asubuhi pekee kila Jumamosi. |
| Ni sawa kwako? |
| Asubuhi pekee? |
| Hmm, hiyo ni ngumu kidogo. |
| Unafungua hadi wakati gani masiku isiyo ya |
| wikendi? |
| Tunafungua hadi saa kumi na mbili jioni Jumatatu |
| na hadi saa mbili usiku Jumatano. |
| Naona. |
| Mnafungua wakati gani asubuhi? |
| Tunafungua saa mbili asubuhi. |
| Asubuhi yote ya wiki kesho imehifadhiwa tayari, |
| lakini unaweza ngojea hadi wiki baada ya wiki |
| kesho, Jumatatu na Jumatano zote ziko wazi |
| kuanzia saa mbili asubuhi. |
| Sawa. |
| Nitapiga simu tena baada ya kuangalia ratiba |
| yangu. |
| Sawa Bwana. |

| Did you get it right? |
| I hope you learned something from this quiz. |
| Let us know if you have any questions. |
| See you next time! |
Comments
Hide