Dialogue

Vocabulary (Review)

Learn New Words FAST with this Lesson’s Vocab Review List

Get this lesson’s key vocab, their translations and pronunciations. Sign up for your Free Lifetime Account Now and get 7 Days of Premium Access including this feature.

Lesson Transcript

How are your Swahili listening skills?
First you’ll see an image and hear a question.
Next comes a short dialogue.
Listen carefully and see if you can answer correctly.
We’ll show you the answer at the end.
Are you ready?
Mwanamume anachukua binti wa rafikye wa kike.
Binti yake ni yupi?
Samahani kukusumbua, unaweza kwenda kumchukua
binti yangu?
Ndio.
Ananijua?
Ndio.
Amekuona kwa picha, kwa hivyo anapaswa kuwa
na uwezo wa kukufahamu.
Sawa.
Anafananaje?
Nywele yake ni nyeusi na msokoto.
Yeye ni mwembamba na mrefu kuliko wastani.
Sawa.
Jambo lingine lolote?
Alisema atavaa kofia niliyompa hapo mbeleni.
Ni nyuepe na una utepe mweusi.
Inaonekana rahisi kupata.
Sawa, Nitaenda kumchukua kwa sasa.
Asante.
Binti yake ni yupi?
Mwanamume anachukua binti wa rafikye wa kike.
Binti yake ni yupi?
Samahani kukusumbua, unaweza kwenda kumchukua
binti yangu?
Ndio.
Ananijua?
Ndio.
Amekuona kwa picha, kwa hivyo anapaswa kuwa
na uwezo wa kukufahamu.
Sawa.
Anafananaje?
Nywele yake ni nyeusi na msokoto.
Yeye ni mwembamba na mrefu kuliko wastani.
Sawa.
Jambo lingine lolote?
Alisema atavaa kofia niliyompa hapo mbeleni.
Ni nyuepe na una utepe mweusi.
Inaonekana rahisi kupata.
Sawa, Nitaenda kumchukua kwa sasa.
Asante.
Did you get it right?
I hope you learned something from this quiz.
Let us know if you have any questions.
See you next time!

Comments

Hide