| How are your Swahili listening skills? |
| First you’ll see an image and hear a question. |
| Next comes a short dialogue. |
| Listen carefully and see if you can answer |
| correctly. |
| We’ll show you the answer at the end. |
| Are you ready? |
| Mwanamume anaongea na mwanamke kuhusu pochi |
| yake. |
| Anaenda wapi kutafuta pochi yake? |
| Loo, siwezi kupata pochi yangu. |
| Labda nimeiwacha mahali. |
| Nini? |
| Unakumbuka ni mara gani ya mwisho uliitumia? |
| La. |
| Siwezi kukumbuka. |
| Naam, wacha basi tujaribu tufikiria kule ulikokuwa |
| leo. |
| Sawa, kwanza nilienda kuona sinema na rafiki |
| yangu. |
| Baada ya hapo tulienda kwa mgahawa ; lakini |
| rafiki yangu alinilipia kwa hivyo sikunguza |
| pochi langu. |
| Lakini unakumbuka kuitumia ulipokuwa ukinunua |
| tiketi ya simena? |
| Ndio. |
| Na tulienda kwa pumziko. |
| Baada ya hapo niligundua sikukuwa nayo. |
| Ulitumia pesa kwenye pumziko? |
| La, kwavile ada ya uwanachama unaelekezwa |
| moja kwa moja kutoka kwa akiba ya benki kila |
| mwezi. |
| Lo! |
| Nimekumbuka nilinunua juisi katika mashini |
| ya kuchuuza. |
| Sawa basi, wacha tuende huko na tukaitafute. |

| Did you get it right? |
| I hope you learned something from this quiz. |
| Let us know if you have any questions. |
| See you next time! |
Comments
Hide