Dialogue

Vocabulary (Review)

Learn New Words FAST with this Lesson’s Vocab Review List

Get this lesson’s key vocab, their translations and pronunciations. Sign up for your Free Lifetime Account Now and get 7 Days of Premium Access including this feature.

Lesson Transcript

How are your Swahili listening skills?
First you’ll see an image and hear a question.
Next comes a short dialogue.
Listen carefully and see if you can answer
correctly.
We’ll show you the answer at the end.
Are you ready?
Mwanamume anaongea na mwanamke kuhusu pochi
yake.
Anaenda wapi kutafuta pochi yake?
Loo, siwezi kupata pochi yangu.
Labda nimeiwacha mahali.
Nini?
Unakumbuka ni mara gani ya mwisho uliitumia?
La.
Siwezi kukumbuka.
Naam, wacha basi tujaribu tufikiria kule ulikokuwa
leo.
Sawa, kwanza nilienda kuona sinema na rafiki
yangu.
Baada ya hapo tulienda kwa mgahawa ; lakini
rafiki yangu alinilipia kwa hivyo sikunguza
pochi langu.
Lakini unakumbuka kuitumia ulipokuwa ukinunua
tiketi ya simena?
Ndio.
Na tulienda kwa pumziko.
Baada ya hapo niligundua sikukuwa nayo.
Ulitumia pesa kwenye pumziko?
La, kwavile ada ya uwanachama unaelekezwa
moja kwa moja kutoka kwa akiba ya benki kila
mwezi.
Lo!
Nimekumbuka nilinunua juisi katika mashini
ya kuchuuza.
Sawa basi, wacha tuende huko na tukaitafute.

Did you get it right?
I hope you learned something from this quiz.
Let us know if you have any questions.
See you next time!

Comments

Hide