Dialogue

Vocabulary (Review)

Learn New Words FAST with this Lesson’s Vocab Review List

Get this lesson’s key vocab, their translations and pronunciations. Sign up for your Free Lifetime Account Now and get 7 Days of Premium Access including this feature.

Lesson Transcript

How are your Swahili listening skills?
First you’ll see an image and hear a question.
Next comes a short dialogue.
Listen carefully and see if you can answer
correctly.
We’ll show you the answer at the end.
Are you ready?
Mwanamume anaandaa nafasi kwenye hoteli.
Anaenda kuishi katika chumba gani?
Hoteli ya pande ya kisiwa yani, Seaside, naweza
kukusaidiaje?
Ningelipenda kuishi usiku mmoja katika mwezi
wa Septemba tarehe 22.
Sawa.
Usiku mmoja kutoka mwezi wa Septemba 22.
Watu wangapi?
Wawili.
Ungelipenda chumba cha kuvuta au sio cha kuvuta
sigara?
Sio cha kuvuta.
Chumba kisicho cha kuvuta siku hiyo ni kwenye
sehemu ya kutazama mlima.
Ni sawa kwako?
Vema, nilikuwa natarajia kupata sehemu ya
kutaza kisiwa.
Niwie radhi, lakini chumba kilichobaki sehemu
hiyo ni ya kuvuta sigara.
Naelewa.
Kunayo chumba kisicho cha kuvuta katika sehemu
hii katika mwezi Septemba 23?
Ndio, kunayo!
Sawa.
Tutaishi kuanzia tarehe 23.

Did you get it right?
I hope you learned something from this quiz.
Let us know if you have any questions.
See you next time!

Comments

Hide