| How are your Swahili listening skills? |
| First you’ll see an image and hear a question. |
| Next comes a short dialogue. |
| Listen carefully and see if you can answer |
| correctly. |
| We’ll show you the answer at the end. |
| Are you ready? |
| Mwanamume anaandaa nafasi kwenye hoteli. |
| Anaenda kuishi katika chumba gani? |
| Hoteli ya pande ya kisiwa yani, Seaside, naweza |
| kukusaidiaje? |
| Ningelipenda kuishi usiku mmoja katika mwezi |
| wa Septemba tarehe 22. |
| Sawa. |
| Usiku mmoja kutoka mwezi wa Septemba 22. |
| Watu wangapi? |
| Wawili. |
| Ungelipenda chumba cha kuvuta au sio cha kuvuta |
| sigara? |
| Sio cha kuvuta. |
| Chumba kisicho cha kuvuta siku hiyo ni kwenye |
| sehemu ya kutazama mlima. |
| Ni sawa kwako? |
| Vema, nilikuwa natarajia kupata sehemu ya |
| kutaza kisiwa. |
| Niwie radhi, lakini chumba kilichobaki sehemu |
| hiyo ni ya kuvuta sigara. |
| Naelewa. |
| Kunayo chumba kisicho cha kuvuta katika sehemu |
| hii katika mwezi Septemba 23? |
| Ndio, kunayo! |
| Sawa. |
| Tutaishi kuanzia tarehe 23. |

| Did you get it right? |
| I hope you learned something from this quiz. |
| Let us know if you have any questions. |
| See you next time! |
Comments
Hide