Dialogue

Vocabulary (Review)

Learn New Words FAST with this Lesson’s Vocab Review List

Get this lesson’s key vocab, their translations and pronunciations. Sign up for your Free Lifetime Account Now and get 7 Days of Premium Access including this feature.

Lesson Transcript

How are your Swahili listening skills?
First you’ll see an image and hear a question.
Next comes a short dialogue.
Listen carefully and see if you can answer
correctly.
We’ll show you the answer at the end.
Are you ready?
Mwanamke anaongea na mtengenezaji nywele wake.
Angelipenda kutengeneza nywele yake vipi?
Helo, naweza kukusaidia?
Helo, ninahifadhi ya Bi.
Richie saa tisa ya mchana.
Karibu Bi.
Richie.
Njoo huku.
Naweza kukusaidia vipi leo?
Ningelipenda kubadilisha mtindo wa nywele
yangu kidogo.
Sawa, ungependa urefu gani?
Urefu wa hadi kwenye bega.
Sawa.
Je, na nywele ya mbele ya uso?
Ziwache.
Wima chini au uwe na nafasi katika upande?
Sehemu ya upande kidogo.
Pande ipi?
Pengine kushoto kidogo kutoka katikati.
Naelewa.
Tutaanza na shampoo, hivyo basi njoo huku.
Angelipenda kutengeneza nywele yake vipi?
Mwanamke anaongea na mtengenezaji nywele wake.
Angelipenda kutengeneza nywele yake vipi?
Helo, naweza kukusaidia?
Helo, ninahifadhi ya Bi.
Richie saa tisa ya mchana.
Karibu Bi.
Richie.
Njoo huku.
Naweza kukusaidia vipi leo?
Ningelipenda kubadilisha mtindo wa nywele
yangu kidogo.
Sawa, ungependa urefu gani?
Urefu wa hadi kwenye bega.
Sawa.
Je, na nywele ya mbele ya uso?
Ziwache.
Wima chini au uwe na nafasi katika upande?
Sehemu ya upande kidogo.
Pande ipi?
Pengine kushoto kidogo kutoka katikati.
Naelewa.
Tutaanza na shampoo, hivyo basi njoo huku.
Did you get it right?
I hope you learned something from this quiz.
Let us know if you have any questions.
See you next time!

Comments

Hide